Profielfoto
English
  • Alles
  • Zoeken
  • Afbeeldingen
  • Video's
    • Korte filmpjes
  • Kaarten
  • Nieuws
  • Meer
    • Shopping
    • Vluchten
    • Reizen
  • Notitieboek
Ongepaste inhoud melden
Selecteer een van de onderstaande opties.
  • Lengte
    AllesKort (minder dan 5 minuten)Gemiddeld (5-20 minuten)Lang (langer dan 20 minuten)
  • Datum
    AllesDe afgelopen 24 uurDe afgelopen weekDe afgelopen maandHet afgelopen jaar
  • Resolutie
    AllesLager dan 360p360p of hoger480p of hoger720p of hoger1080p of hoger
  • Bron
    Alles
    MySpace
    Dailymotion
    Metacafe
  • Prijs
    AllesGratisBetaald
  • Filters wissen
  • Veilig Zoeken:
  • Gemiddeld
    StrengGemiddeld (standaard)Uit
Filter
Picha za faragha za wanawake zimekuwa zikichapishwa bila ridhaa yao kwenye programu ya mitandao ya kijamii ya Telegram. Programu hiyo imekuwa na ongezeko kubwa la idadi ya watumiaji wake mwaka jana huku ikisema inasimamia na kuondoa picha za utupu na faragha. Uchunguzi wa BBC umegundua mamia ya picha za utupu zilisambazwa katika mtandao wa Telegram katika nchi zaidi ya 20. Na sasa wito unatolewa kwa Telegram kulinda faragha na usalama wa wanawake. #bbcswahili #telegram #kenya #faragha #mitandao
4:03

4,5K weergaven16 feb 2022
FacebookBBC Swahili
Meer weergeven
Statische miniatuurweergave plaatsaanduiding
Meer zoals dit
  • Privacy
  • Voorwaarden